Kamera ya Pixel

2.9
Maoni elfu 506
1+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Nasa matukio yote ukitumia Kamera ya Pixel! Piga picha na urekodi video maridadi ukitumia vipengele kama vile Fifiza, Shabaha ya usiku, Mpito wa Muda na Kutia Ukungu Mtindo wa Sinema.

Piga picha za kuvutia
• HDR+ iliyo na Vidhibiti vya Kusawazisha Weupe na Mwanga - Piga picha za kupendeza ukitumia HDR+, hususan katika mandhari yenye mwangaza hafifu au mandhari yaliyomulikwa kutoka nyuma.
• Shabaha ya Usiku - Kamwe hutahitaji kutumia mweko wa kamera yako tena. Shabaha ya usiku huonyesha rangi na vipengee vyote visivyoonekana kwenye giza. Unaweza hata kupiga picha za Nyota za Kilimia ukitumia kipengele cha Upigaji picha za anga!
• Kiratibu cha Upigaji Picha - Pata mapendekezo na mwongozo kwa usaidizi wa mifumo ya Gemini ili upige picha bora
• Picha Bora Kiotomatiki - Nasa matukio bora ya marafiki zako wote kwa kubofya kitufe cha kilango cha kamera mara moja tu
• Kuza na Upige Picha Safi - Piga picha kwa karibu ukiwa mbali. Kipengele cha Kuza na upige picha safi huboresha picha zako unapovuta karibu.
• Ukuzaji Wenye Ubora wa Kitaalamu - Kuza hadi mara 100, inaendeshwa na mfumo ulioboreshwa wa picha za AI
• Niongeze - Jumuisha kila mtu katika picha zako, hata anayepiga picha
• Ukungu Kwenye Maudhui - Weka ukungu bunifu kwenye vipengee vinavyosogea katika tukio
• Kunasa Mwendo - Weka ukungu bunifu kwenye mandharinyuma huku ukiangazia kinacholengwa
• Ulengaji wa Karibu - Rangi dhahiri na zinazovutia hata pale ambapo kinacholengwa ni kidogo sana
• Udhibiti wa Magwiji - Tumia mipangilio ya kina ya kamera kama vile kasi ya kufunga kilango cha kamera, ISO na zaidi

Video zinazovutia kila unaporekodi
• Kuboresha Video - Pata video safi kabisa kupitia uchakataji wa AI katika wingu
• Video katika Mwanga wa Usiku - Jikumbushe matukio bora hata kama uliyarekodi kukiwa na giza
• Rekodi video nzuri zenye ubora wa hali ya juu na sauti safi, hata katika sehemu zenye watu wengi
• Kutia Ukungu Mtindo wa Sinema - Weka mtindo wa kisinema kwa kutia ukungu kwenye mandharinyuma ya unachokilenga
• Kunasa Sinema - Punguza kasi ya mtikisiko wa kugeuza simu yako
• Picha Pana - Rekodi video za kawaida na za haraka kwa kubonyeza tu kitufe cha kilango cha kamera kwa muda mrefu katika hali chaguomsingi ya kupiga picha

Masharti - Toleo jipya kabisa la Kamera ya Pixel linafanya kazi tu kwenye vifaa vya Pixel vinavyotumia Android 16 na matoleo mapya zaidi. Toleo jipya kabisa la Kamera ya Pixel kwenye Wear OS linafanya kazi tu katika vifaa vinavyotumia toleo la Wear OS 5.1 (na matoleo mapya zaidi) vilivyounganishwa na simu za Pixel. Baadhi ya vipengele havipatikani kwenye vifaa vyote.
Ilisasishwa tarehe
30 Okt 2025

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

2.8
Maoni elfu 484